Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 15, 2014

TAZAMA PICHA 7 ZA MAPIGANO KATI YA CHUI NA MAMBA

 
Wahenga walisema kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamaba yake , hapa tunamuona chui akiwa katika mawindo yake akijatafutia chakula.


 Chui akionyesha ubabe wake katika mgongo wa mamba huku mamba akiwa kaishiwa ujanja
 Mamba akikimbilia nchi kavu huku chui akimvutia ndani ya Maji


 Hapo sasa ngoma imenoga
Mamba hanajeuri hapo
 Mamba akipata kibano kutoka kwa chui
 Kibano kinaendelea
Mchezo kwisha

No comments:

Post a Comment