Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa huyo kutoka Manyoni, Singida.

Hizi ni baadhi ya picha za chaguo la Machozi



Addicted
Hit maker pia ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zakia. Hongera
sana Hussein kwa kupiga hatua hiyo kubwa katika maisha

No comments:
Post a Comment