Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Presidential
Bureau Oamar Issa (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Uongozi, Profesa
Joseph Semboja katika mkutano alioutisha wa Wqakuu wa Mikoa na Makatibu
Tawala wa Mikoa wa kujadili utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa
sasa, kwenye hoteli ya Dodoma Septemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA CMA KWA UANZISHWAJI WA MFUMO WA KIDIJITALI.
-
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume
ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa uanzishwaji wa Mfumo wa Uendeshaji na
Us...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment