Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 24, 2013

KIKOSI CHA WACHEZAJI WA AIRTEL RISING STAR TANZANIA CHAWASILI NCHINI KUTOKA LAGOS NIGERIA‏


Kikosi cha Timu ya Airtel Rising Stars cha Tanzania kikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria.
Timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria jana.
Mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Stars Afrika kwa upande wa wasichana katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria.
Kikosi cha Timu ya Airtel Rising Stars cha Tanzania katika basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili nchini.
Mzazi wa mchezaji wa Donisia Daniel akimpokea mwanaye kwa furaha.
Ofisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (mwenye rasta) akiwalaki wachezaji  mara baada ya kuwasili kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria.

No comments:

Post a Comment