Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, September 15, 2013

MKUU WA MAJESHI AWAVALISHA NISHANI MAOFISA WA JESHI MOROGORO


MKUU wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, akimvisha Nishani ya Utumishi Wa Muda  Mrefu Tanzania Askari mwenye cheo cha Meja. kwa niaba ya Amiri, Jeshi Mkuu wa Majeshi Tanzania Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Kambi ya Jeshi Pangawe Mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment