Polisi wakikagua mahali alipokuwa amejificha mtuhumiwa wa bangi.
Mfuko wa bangi aliokamatwa nao mtuhumiwa.
Mtuhumiwa akipelekwa kutuo cha polisi.
Kijana ambaye hakutambulika jina lake mara moja amenaswa na polisi akiwa na mfuko wa bangi. Sakata
hilo limetokea maeneo ya Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam mara
baada ya polisi kumshuku jamaa huyo ambaye alionekana kujificha chini ya
matenga ya nyanya mara baada ya kuwaona polisi hao.
WAZAZI TENGENI MUDA WA KUCHEZA NA WATOTO MAJUMBANI.
-
Na Mwandishi Wetu
KATIKA kuelekea kusherehekea siku ya kucheza duniani (International day of
play), Shirika lisilo la kiserikali la BRAC Tanzania limewatak...
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment