Hili ni jengo lililovamiwa
Walioshuhudia tukio
hilo, wanasema kuwa maguruneti piya yalitumika.
Polisi waliojihami kwa
silaha wamezingira jengo la maduka liitwalo Westgate, katika mtaa wa Westlands,
na kuna taarifa ya watu waliojeruhiwa wakitolewa hapo kwa machera.
Kulikuwa na watu wengi
wamenasa ndani ya jingo hilo lakini
kwasasa wengi wameokolea na wengine bado wanaendelea kuokolewa .Magari
yaliyoegeshwa nje ya maduka pia
yameharibiwa kwa siraha
No comments:
Post a Comment