Staa
wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo,Rehema Chalamilla 'Ray C', akiingiza
sauti ndani ya Studio za THT, chini ya maproducer Emma The Boy na Tudy
Thomas,ambao wamepania kumrejesha katika game kwa kishindo msanii huyo,
ambaye alipotea kwenye ulimwengu wa Burudani baada ya kutopea katika
utumiaji wa madawa ya kurevya ambayo kwa sasa ameachana nayo na kumrudia
mwenyezi Mungu sambamba na kuendelea kutumia dozi ya kuondoa sumu ya
madawa hayo.
Ray C akiingiza sauti tayari kwa maandalizi ya ujio mpya kwenye game la Bongo Fleva.
Producer
Tudy Thomas (kulia), akicheka jambo lililotokana na majadiliano ya
kuboresha ngoma mpya ya Rey C, wa kwanza kushoto na katikati ni Emma The
Boy akipiga mzigo tayari kwa kumkamilishia Ray C ngoma yake mpya ambayo
anatarajia kuiachia hivi karibuni baada mara tu itakapo toka mikononi
mwa Maproducer hao.
Ray C, akijalibu kutoa akapela kwa Maproducer hao, wakati wakiendelea kuiboresha ngoma yake mpya.
Ray C, Emma The Boy &Tudy Thomas ndani ya Studio
Ray C, akiwa katika pozi nadi ya studio hiyo.
No comments:
Post a Comment