Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 11, 2013

TRAFIKI ANUSURIKA KIPIGO KUTOKA KWA WAENDESHA BODABODA TANGA



Trafiki akizozana na dereva Bodaboda aliyevunja sheria katika stendi kuu ya mabasi mkoani Tanga.
...Askari akiingilia kati kumnusuru trafiki baada ya dereva Bodaboda kuanza kumzonga.
...Pikipiki ikipelekwa kituoni.
...Safari ya kuelekea kituo cha polisi wa usalama barabarani.
(Picha na Richard Bukos aliyekuwa Tanga)

No comments:

Post a Comment