Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 26, 2013

VIDEO MPYA YA BILA KUKUNJA GOTI YAFIKIVIWANGO VYA MTV,CHANEL O NA TRACE



Video ya hit song ‘Bila Kukunja Goti’ ya Mwana FA na AY waliomshirikisha J.Martins kutoka Nigeria tayari imepitishwa kuanza kuonekana katika vituo vya nje ambavyo hucheza videos zenye ubora wa kimataifa tu.

Mwana FA amethibitisha kuwa video hiyo ambayo imefanywa Afrika Kusini imepitishwa na vituo vya Trace, MTV Base, Channel O pamoja na Sound City na itaanza kuonekana katika vituo hivyo.

FA kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika, “Siku nyingine hatua nyingine…video ya Bila Kukunja Goti imefanikiwa kufikia viwango(imepita) Trace, MTV BASE, Channel O na Sound City. Yes,itaonekana kote huko…#afrikanzima…#goingplaces…#keepingthegoodmusicalive,”.
-Bongo5

No comments:

Post a Comment