YANGA WASHAMBULIWA NA MASHABIKI WA MBEYA CITY WAKIINGIA KWENYE UWANJAWA SOKOINE - BASI LAVUNJWA VIOO.
Dakika chache zilizopita
wakati basi la klabu ya Yanga likiwa linaingia katika uwanja wa sokoine
mjini Mbeya limeshambuliwa na mashabiki wanaodhaniwa kuwa wa Mbeya City
kwa kupigwa mawe, kitu kilichopelekea vioo vya gari hilo kupasuka.
Mpaka sasa hakuna taarifa kama kuna mchezaji yoyote wa klabu hiyo aliyejeruhiwa.
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment