Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 23, 2013

AJALI YA PIKIPIKI DAR LEO

 
Baadhi ya waendesha pikipiki Maarufu kama bodaboda wakiwa katika eneo la Bandarini ampapo ajali imetokea baada ya gari aina ya Toyota Land Cruiser  kuigonga pikipiki.
 
Toyota Land Cruiser linalodaiwa kumgonga muendesha pikipiki aliyetambulika kwa jina moja la Huweso.
 
...Askari wa usalama wa barabarani akichukua maelezo katika eneo la tukio, alielala chini ni Huweso baada ya kupata ajali.
             
  ....Huweso akiwa amelazwa ndani ya gari tiyari kupelekwa Hospitalini.

No comments:

Post a Comment