PICHA CHINI HAPO NI YA JAMAA ALIYEKAMATWA ARUSHA KWA KOSA LA KUTUMIA SARE ZA JESHI PASIPO YEYE KUWA MWANAJESHI,SWALI LA MSINGI JE MWIGULU YEYE KAPEWA RUHUSA YA KUTUMIA HAYO MAVAZI AU LA?NA KAMA SIO INABIDI AWAJIBISHWE KWA MUJIBU WA SHERI AWakuu habari?
hivi nchi hii sheria, kanuni na taratibu mbalimbali katungiwa nani,
kwasababu watu wanajiamlia tu
angalia huyu alivyo vaa, hivi angelivaa mtu wa kawaida/mwanainchi wa kawaida n.k angepona kweli?
naomba jeshi makini la JWTZ mmuwajibishe huyu mtu pia
kwani haki ni kwa wote watanzania
JAB yazindua mwongozo wa kisheria wa kuwatunuku waandishi wa habari
wakongwe ithibati ya maisha
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa
Kisheria wa Utoaji wa Ithibati ya Maisha kwa Waandishi wa...
9 hours ago



No comments:
Post a Comment