Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 9, 2013

JAGUAR AMPA DJ WA RADIO ZAWADI YA CHENI YENYE THAMANI YA MIL 7


Jaguar ampa DJ wa radio cheni ya dhahabu yenye thamani ya Tshs milioni 7

posted 3 hours ago by admin
Ukifanya kazi nzuri tegemea malipo mazuri hata kama sio kwa malipo unayodai, inaweza pia kulipa kwa njia ya shukurani tu ya kile kitu kizuri unachokifanya kwa moyo.
Hivi karibuni, msanii wa Kenya, Jaguar alimpa zawadi ya cheni ya dhahabu yenye uzito wa gram 75.86 DJ wa radio mjini Mombasa, Kenya.
Cheni hiyo yenye thamani ya shilingi 375,000 za Kenya, ambazo ni takriban shilingi milioni 7 za Tanzania ilikuwa ni kama zawadi kwa DJ huyo wa Pwani FM aitwaye Gates Mgenge aka Grandson.
Alipoulizwa na gazeti la  The Star kuhusu zawadi hiyo, Jaguar alisema, “We have to share no matter how little we have.”

No comments:

Post a Comment