Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 21, 2013

KANYE WEST ALAUMIWA kwa KUMUIGIZA YESU STEJINI,JIONEE VIDEO

jesus-kanye-west-2013-10-20-300x300
Kanye West alianza show yake vizuri kabisa ila ilipofika wakati wa kuimba wimbo wake kutika kwenye album ya College Dropout inayoitwa Jesus Walks alitokea mtu aliye vaa kama Yesu  na Kanye West ambaye alikuwa na msaidizi wake wa kike kwenye kuimba wali inama na mbele ya Mtu Huyu na ndio wimbo ukaanza wa Jesus Walks TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

No comments:

Post a Comment