Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 20, 2013

LIVE MATCH CENTRE: YANGA 3 VS SIMBA 3





Dk 83 GOOOOO.....! Gilbert Kaze anaipatia Simba bao la tatu akiunganisha krosi safi ya faulo iliyopigwa na Chollo. Simba 3-3 Yanga. 

Dk 72 Mpira umebadilika na Simba sasa wametawala mchezo.Dk 67 Mpira umesimama kwa muda baada ya Tambwe kuumia. 

Dk 64 Ngassa anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa. 

Dk 61 SUB: Yanga imefanya mabadiliko ametoka Kiiza ameingia Simon Msuva. 

Dk 60 YELLOW CARD...! Singano anaonyeshwa kadi ya njano. 

Dk 59 Simba wamebadilika na wanacheza soka safi sasa.GOAAAAAAAL SIMBA WANAPATA GOLI LA PILI KUPITIA KWA OWINOOO
GOAAAAAAAAL SIMBA WANAPATA GOLI
 KIPINDI CHA PILI KIMEANZA  NA SIMBA WANAPATA KONA
GOOOOOOALLLLLLLLLLL YANGA WANAPATA GOLI LA TATUUUUU HAPAAAAA
GOOOOOOOOALLLLLLLL HAMISI KIIZA ANAPACHIKA GOLI HAPA
Dk 14 GOOOOOO....! Mrisho Ngassa anaipatia Yanga bao la kwanza akiunganisha vyema krosi ya Kavumbagu. Simba 0-1 Yanga 
Dk 13 Timu zinashambuliana kwa zamu lakini kazi ipo kwa Cannavaro na Mombeki. 

Dk 9 YELLOW CARD...! Mombeki anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Cannavaro. Rafu hii ni ile ya kwanza. 

Dk 7 Betram Mombeki wa Simba anapiga kichwa langoni kwa Yanga lakini kipa Ali Mustapha anaudaka mpira. 

Dk 7 Niyonzima anamchezea rafu Abdulhalim Humud wa Simba. 

Dk 4 Ngassa anapiga krosi safi langoni kwa Simba lakini Kiiza anachelewa kuunganisha. 

Dk 3 Jonas Mkude anamchezea rafu Mrisho Ngassa wa Yanga. 

Dk 2 Yanga wamecheza pasi 10 bila Simba kugusa. 

Dk 00 MPIRA UMEANZA!
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA

Barthez, Twite, Luhende, Cannavaro, Yondani, Chuji, Niyonzima, Domayo, Kavumbagu, Ngassa, Kiiza 

Subs: Deogratia Munisi, Juma Abdul, Oscar Joshua, Simon Msuva, Rajab Zahir, Jerson tegete, Nizar Khalifan 

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA
Dhaira, Cholo, Shamte, Kaze, Owino, Mkude, Singano, Humud, Mwombeki, Tambwe, Chanongo 

Subs: Abuu Hashim, Hassan Khatir, Issa Rashid, Zahoro Pazi, Amri Kiemba, Said Hamisi, William Lucian 
KWA MSAADA WA SHAFFIH DAUDA

No comments:

Post a Comment