skip to main |
skip to sidebar
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA BUNGE LA SWITZERLAND, IKULU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Bunge la
Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar
es Salaam, jana mchana kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa
Switzerland nchini, Olivier Chave.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Rais
wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam, jana mchana kwa ajili ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment