Maporomoko ya Mto Kalambo (Kalambo Falls)
Maporomoko ya asili ya Luanji (Luanji Falls) yaliyopo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa.
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiwa na baadhi ya wafanyakazi
wa Wakala wa Hifadhi ya Misitu Tanzania (TFS) wakizungumza na
wanakijiji wa Kapozwa Wilayani Kalambo juu ya umuhimu wa kuhifadhi
mazingira yanayowazunguka ukiwemo msitu wa Kalambo na Maporomoko ya Mto
Kalambo (Kalambo Falls) yenye urefu wa mita 225.

wa Wilaya ya Kalambo Moshi Chang'a akionyesha kwa kidole msitu wa
hifadhi wa Luanji yanapopatikana maporomoko ya asili ya mto luanji
(Luanji Falls). Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na wengine ni Wakala wa
Hifadhi ya Misitu Tanzania walipotembelea hifadhi hiyo kwa ajili
kuiendeleza.
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akionyeshwa kushangazwa na
staili ya nywele ya mmoja ya watoto wa kijiji cha Kapozwa Wilayani
Kalambo alipofika katika kijiji hicho na Wakala wa Hifadhi ya Misitu
Tanzania kwa ajili ya kuona hifadhi ya Msitu wa Kalambo na maporomoko ya
mto Kalambo (Kalambo Falls).
Picha
ya pamoja kati ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya katikati
waliokaa, Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Salum Chima kushoto waliokaa,
watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Rukwa na Wakala wa Hifadhi ya
Misitu Tanzania (TFS) ofisini kwa Mkuu huyo wa Mkoa.Picha na Hamza Temba
- Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa
No comments:
Post a Comment