Mwanamitindo wa
Kimataifa kutoka Tanzania, Millen Magesa wakipita jukwaani kuonesha
mavazi yake katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,
lililofanyika kwenye Stesheni ya Treni ya Ravos ya Mjini Tshwane,
Pretoria, Afrika Kusini hivi karibuni.
Mbunifu wa
mavazi wa kimataifa nchini Afrika Kusini, David Tlale akiwa na
Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania, Millen Magesa wakipita
jukwaani stejini mara baada ya kuonesha ya kuonesha mavazi yake katika
Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week, lililofanyika kwenye
Stehsni ya Treni ya Ravos ya Mjini Tshwane, Pretoria, Afrika Kusini hivi
karibuni.
No comments:
Post a Comment