Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Rhys Torrington akizungumza na baadhi ya
Waandishi wa habari waliopata fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi
za Kampuni hiyo juu ya uanzishwaji wa Televisheni yao ya Azam TV yenye
muonekano wa kisasa zaidi na yenye lengo la kukuza michezo mbali mbali
hapa nchini,zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Rhys Torrington akionyesha King'amuzi cha
Azam TV kwa baadhi ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) waliopata
fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo eneo
la Tazara jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi wa Wakuu wa Idara mbali mbali za Kampuni ya Azam Media wakimsikiliza Mkurugenzi wao.
Meneja
wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Azam Media,Loth Mziray (kulia)
akifafanua jambo kwa baadhi ya Waandishi wa habari waliopata fursa ya
kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo eneo la
Tazara jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Azam Media (Kitengo cha huduma kwa Wateja) wakiwajibika.
Meneja
Uzalishaji na Ufundi wa Kampuni ya Azam Media,Mehboob Aladdad
akionyesha moja ya mixer za sauti zilizopo ndani OB Van ya Azam TV
ambayo ni ya kisasa na yenye vigezo vya kimataifa,wakati wa ziara ya
waandishi wa habari kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo eneo la
Tazara jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya vifaa vya kuchanganyia picha kwenye OB Van ya Azam TV.
Wazee
wa Kazi ndani ya OB Van la Azam Tv,toka kulia ni Meneja Uzalishaji na
Ufundi wa Kampuni ya Azam Media,Mehboob Aladdad,Meneja wa Azam FM na
Matukio ya Moja kwa Moja,Yahya Mohamed pamoja na Fundi Mitambo wa OB Van
hiyo,Saleh Mansoor (alieketi) wakifatilia moja ya kazi zao.
OB Van ya Azam TV ikiwa imetukia tayari kwa lolote.
No comments:
Post a Comment