Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 21, 2013

TAZAMA PICHA SHABIKI ALIPOTUPA BOMU LA MACHOZI UWANJANI JANA WAKATI MECHI IKIENDELEA

Mashabiki wawili wamekamatwa na jeshi la polisi nchini Uingereza baada ya kutupa bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Tottenham Hotspur na Aston Villa ambapo bomu hilo lilimdondokea mgongoni refarii msaidizi wa mechi hiyo.
Katika mechi hilo Spurs ilishinda mabao 2-0,kupitia mtandao wa twitter Polisi waliandika kuwa‘tumewatia mbaroni watu wawili baada ya kurusha bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Villa vs Spurs’.…

Mashabiki wawili wamekamatwa na jeshi la polisi nchini Uingereza baada ya kutupa bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Tottenham Hotspur na Aston Villa ambapo bomu hilo lilimdondokea mgongoni refarii msaidizi wa mechi hiyo.
Katika mechi hilo Spurs ilishinda mabao 2-0,kupitia mtandao wa twitter Polisi waliandika kuwa‘tumewatia mbaroni watu wawili baada ya kurusha bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Villa vs Spurs’.
Katika tukio hilo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment