WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/10/2013.
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali
ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Tanga,
Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro na
Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Mara]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi,mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera na Mwanza ]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Singida,
Dodoma na Kigoma]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Shinyanga na
Tabora]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
14°C
|
12:18
|
12:24
|
D'SALAAM
|
32°C
|
22°C
|
12:05
|
12:15
|
DODOMA
|
30°C
|
18°C
|
12:19
|
12:28
|
KIGOMA
|
33°C
|
18°C
|
12:44
|
12:52
|
MBEYA
|
25°C
|
12°C
|
12:28
|
12:39
|
MWANZA
|
31°C
|
15°C
|
12:32
|
12:37
|
TABORA
|
32°C
|
19°C
|
12:32
|
12:40
|
TANGA |
31°C
|
23°C
|
12:07
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
24°C
|
12:05
|
12:15
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka
Kusini-Mashariki kwa
Pwani
ya kaskazini na kutoka Mashariki kwa pwani ya kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .
Matazamio kwa siku ya Jumamosi:
19/10/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 17/10/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment