skip to main |
skip to sidebar
ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA CHENGDU NCHINI CHINA
Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda kisalimian Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bio Energy Ya Berlin, Bw. Alexander Boiton baada ya mazungumzo yao
mjini Chengdu akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 22, 2013.
Wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Chengdu De Tong
Environmental Engineering Co Limited , Tong Boitin ba watatu kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Katani Limited, Salum Shamte. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment