Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, kushoto, Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa wakipungia wananchi mikono
kabla ya kushuka kwenye meli ya MV Songea wakitokea Mbamba Bay Wilayani
Nyasa Mara baada ya kuwasili katika bandari ya ya Itunge Kyela Mkoani
Mbeya na ameanza ziara ya kikazi mkoani humo, Kinana na ujumbe wake
atatembelea wilaya za Kyela, Rungwe, Ireje, Moma. Mbozi. Chunya, Mbeya
vijijini Mbarali na Mbeya mjini akikagua uttekelezaji wa Ilani ya Chama
cha Mapinduzi na kuhamasisha uhai wa chama hicho.PICHA NA KIKOSI KAZI
CHA FULLSHANGWE- ITUNGE-KYELAKatibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka
kwenye meli ya MV Songea mara baada ya kwenye bandari ya Itunge Kyela
leo. Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
na Mh. Mery Mwanjelwa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya mara baada ya
kuwasili mjini Kyela leo, kushoto ni Munge wa jimbo la Rungwe Magharibi
David Mwakyusa katikati ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mbeya na mkuu wa Wilaya
ya Chunya Bw.Deodatusi KinawiroKatibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
na Mbunge wa jimbo la Kyela na Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison
Mwakyembe.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi wakati akishuka kwenye meli ya MV Songea.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia vikundi vya ngoma Akisalimiana na wananchi wakati wa mapokezi hayo.Kikundi cha kwaya kikitumbuiza katika mapokezi hayo.Burudani ikiendeleaViongozi mbalimbali wa CCM na Serikali wakiwa katika mapokezi hayo.Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa akizungumza na wanakyela leo.Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi katika bandari ya Itunge leo.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi.
Waziri Jafo akagua maandalizi miaka 60 ya CBE
-
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ametembelea Chuo cha Elimu ya
Biashara (CBE) kuangalia maandalizi ya sherehe za miaka 60 t...
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment