Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 24, 2013

ANGALIA PICHA MBALIMBALI WAKATI ZITTO AKITOA TAMKO LEO



Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe akiongea na wanahabari katika Ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya hoteli ya Serena Posta jijini Dar es Salaam.…
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe akiongea na wanahabari katika Ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya hoteli ya Serena Posta jijini Dar es Salaam.
Dk. Kitila Mkumbo naye akiongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua matukio katika mkutano huo na wanahabari.
Wakili wa Zitto Kabwe, Albert Msando akiongea na wanahabari.
Mmoja wa wanahabari akiuliza swali wakati wa mkutano huo.
Zitto Kabwe na Dk. Kitila Mkumbo wakimsikiliza wakili Msando.
Mwanamuziki kutoka mkoani Morogoro Selemani Msindi 'Afande Sele' (mwenye kofia) ambaye amejiunga na Chadema Novemba 16 mwaka huu akifuatilia mkutano huo.
(PICHA NA ISSA MNALLY / GPL)
 

No comments:

Post a Comment