Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 23, 2013

ANGALIA VIDEO YA SNURA "NIMEVURUGWA" UONE JINSI SNURA ALIVYOVURUGWA


snura 234 
August 2013 ndio Snura aliishusha single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo ikiwa ni miongoni mwa single zinazopata airtime bila kuwa na video lakini leo November 22 2013 kaishusha video … itazame hapa chini na uache maoni yako , atapita hapa baada ya saa 6. Snura alisema kwenye video ya ‘majanga’ hakuweza kucheza kama inavyotakiwa lakini huku kwenye ‘nimevurugwa’ ndio kajiachia.

No comments:

Post a Comment