skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS: JUMA KASEJA ATUA YANGA KWA MIL 40

Kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa kuichezea Yanga rasmi, mkataba huo
umesainiwa leo Ijumaa na ataanza kuitumikia timu hiyo katika mzunguko
wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Kaseja amesaini kwa dau la Sh
milioni 40.
No comments:
Post a Comment