Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 4, 2013

DKT. BILAL AMJULIA HALI DKT. SENGONDO MVUNGI ALIYELAZWA MUHIMBILI



Mvungi_58503.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Dkt. Mugisha Clement (kushoto) aliyekuwa akimpa maelezo kuhusu alivyompokea Mjumbe wa Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi, aliyelazwa katika Kitengo cha Uangalizi Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipokwenda kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na majambazi usiku wa kuamkia jumapili huko nyumbani kwake maeneo ya Kibamba. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia.

No comments:

Post a Comment