Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal,akizungumza na baadhi ya wadau wa Sekta ya Korosho, wakati
akiagana nao baada ya kufungua rasmi Kongamano la Sekta ya Korosho
Nchini. Kongamano hilo lililofunguliwa leo,limefanyika katika Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi
ya Korosho, Mudhihir Mudhihir. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho
nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere. Picha na OMR
Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza
kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais
kufungua kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment