Huwa nawakumbuka
naamini kabisa kitambo si kirefu watakua huru.. wakati nafanya album
yangu ya kwanza (mkuki moyoni) zaidi ya miaka kumi iliyopita kuna ile
track MAYOWE REMIX imepigwa live band ingawa MAJANI alipiga kick, lakini
BASE & SOLO GUITAR alicharaza MZEE NGUZA (babu seya) mwenyewe,
ukisikiliza vyema ile kazi utasikia kila chombo kwa wakati wake hiyo
imechangiwa na ustadi wa Mzee Nguza zaidi, mtoto wake ambae ni PAPII
KOCHA alifanya chorus ilikua vibe sana nakumbuka siku ile pale BONGO
RECORDS. wakati huu ambao nakaribia kutimiza miako kumi ya KING OF
RHYMES i wish mungekuepo tufanye kitu, MFUNGWA, MFUNGWA NI NANI? IMAM,
RAISI. ASKOFU, MWALIMU, HAKIMU, JAJI, MASIKIN, TAJIRI, MCHUNGAJI anaweza
kuwa mfungwa... .. MUNGU ni muweza wa yote na hashindwi na chochote
naamini kabisa tutakua pamoja uraiani .. nawapenda, nawaombea na maelfu
ya Watanzania wako pamoja nanyi
KATIBU WA SUKI RABIA "KILICHOFANYWA NA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU HAKIJAVUNJA
KATIBA YA CHAMA"
-
NA WILLIUM PAUL, ROMBO.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Katibu wa Nec Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Hamid amesema kuwa kilic...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment