Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 21, 2013

HIVI NYIE DADA ZETU MNAONA HIZI NDO FASHENI SIO?ACHENI UPUUZI JIHESHIMUNI..HUYU NI JACK WA MAISHA PLUS


Jacqueline Dunstan ‘Jack wa Maisha Plus’.
Na Gladness Mallya
MREMBO aliyeshiriki Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dunstan ‘Jack wa Maisha Plus’ amezua jambo katika mtandao baada ya kutundika picha akiwa anabusiana na mwanamke mwenzake.
Jack ambaye kwa sasa yupo nchini Dubai, aliweka picha hiyo katika mtandao wa Instagram hali ambayo iliwashangaza wadau wengi waliopo kwenye mtandao huo ambapo walimchana kuwa aache vitendo vya kisagaji lakini mwenyewe hakujibu.
Jack baada ya kuweka picha hiyo aliandika maneno haya; ‘mwaaah’ ndipo wadau walipoanza kumshambulia na kumtaka aondoe picha hiyo chafu.Msitafute umaarufu kwa kasi kwa kuwa mnajua tutawaweka kwenye mitandao na kujiongezea majina,fanyeni vitu vya msingi kwenye jamiii na mtafahamika tu na kujulikana,shenziiiiiiiiiii CHANZO GPL

No comments:

Post a Comment