Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 23, 2013

HUYU NDIYE CAMERA MAN TISHIO ANAYEKUJA JUU NDANI YA BONGO MOVIE MJUE HAPA

 
Kabuti Onyango akiwa Mzigoni

KABUTI ONYANGO YES THAT IS MY NAME WENGI MNAWEZA MKAWA MNAJIULIZA HILO JINA LA PILI ONYANGO,MIMI NI MTOTO WA MSANII MKONGWE NA MAARUFU MZEE ONYANGO,KAMA WANAVYOSEMA MTOTO WA WA NYOKKA NI NYOKA NI KWELI KABISAAA,NIPO KWENYE HII TASNIA YA FILAMU ZA KITANZANIA"BONGO MOVIES"ILA MIMI NIPO SANA NYUMA YA LENSI.
 
Kabuti akiwa Location tayari Kwa Kushoot

NIKIWA KAMA CAMERA MAN UBORA WANGU WA KAZI NA KUJITUMA NA KUWA MAKINI KAZINI IMENISAIDIA KUJUANA NA MAPRODUCER WENGI NA MADIRECTOR WENGI NA KUFANYA NAO KAZI NYINGI FILAMU NYINGI NIMEZISHOOT NA MSHUKURU SANA MUNGU,MOJA YA KAZI NILIZOWAHI KUFANYA NI::
  • HUKUMU YANGU
  • CHOCOLATE YA ODAMA
  • PUSI NA PAKU
  • TIKISA
  • MAJANGA

No comments:

Post a Comment