Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 7, 2013

KESI ZA JITU PATEL NA MAFISADI WENZAKE ZAENDELEA


Jitu Patel akiondoka baada ya kesi yake kuahirishwa.
Mshitakiwa namba mbili Amith Nandy nae akiondoka.
Mshitakiwa namba tatu, Vijey Kumar.
Kesi tano za ufisadi zinazomkabili mfanyabiashara mwenye asili ya Kihindi Jitu Patel na wenzake leo zimeendelea kufukuta kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam. Kesi hizo zimeahirishwa  ambapo zitaendelea tena Desemba 3 mwaka huu. Jitu Patel na wenzake wanashitakiwa kwa ‘kuhomola mijihela’ kwenye mfuko wa madeni ya nje wa Benki Kuu ya Tanzania BoT (EPA)
                                              ( PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL ) 

No comments:

Post a Comment