Mwimbaji wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku (wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya ndugu zake msibani.
Waombolezaji
wakiwa msibani eneo la Tabata, Migombani jijini Dar es Salaam wakati wa
kuaga mwili wa marehemu mzee Bukuku kabla ya safari ya kuelekea Mbeya.
Mwili wa marehemu baba yake mdogo Bahati Bukuku, Mzee Lwagha Bukuku
leo umeagwa eneo la Tabata Migombani jijini Dar es Salaam kabla ya
kusafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi. Marehemu alifariki dunia
juzi Jumanne katika hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga, jijini Dar
es Salaam.(Picha zote na Irene Ndauka)
No comments:
Post a Comment