Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko akiwahutubia washiriki wa mkutano wa 14 wa wakurugenzi wa Mamlaka za maji safi na maji taka nchini unaofanyika jijini Arusha Mzee Job Lusinde Malecela mwenyekiti wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma akichangia hoja katika mkutano huo. Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, Hawa Sanare akijibu akichangia hoja katika mkutano Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu akijibu swali la mwenyekiti Mhandisi Bashir Mrindoko juu ya bei za maji. Picha ya pamoja Mwenyekiti wa Mkutano, Bashir Mrindoko akiwa na Wakurugenzi wa Mamlaka za maji nchini na wenyeviti wa mamlaka hizo. Mkurugenzi wa Rasilimali za maji Wizara ya Maji, Hamza Sadiki akitoa ufafanuzi juu ya vyanzo vya maji nchini
SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA MAFUNZO YA UFUATILIAJI NA TATHIMINI KWA
MAENDELEO YA MIRADI YA SERIKALI
-
*Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka
halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya
ufuatiliaji...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment