Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 26, 2013

PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKU 16 YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

 

Mgeni rasmi Katika Maadhimisho Hayo Mkuu wa Wilaya Morogoro Mh Said Amanzi katikati akiwa na kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Faustini Shilogile Kulia, Pamoja na Msaidizi wa kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro ACP Laswai waliopokea maandamo yaliofanywa na jeshi la Polisi yanayohusu maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro 
 Bango lililobeba kauli mbiu ya ya jeshi la polisi katika  maadhimisho ya siku 16  ya kupinga ukatili wa Kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro yakioandaliwa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mashirika na asasi za  kiraia.
 Bango lililobeba ujumbe kuhusu ukatili wa Kijinsia 

 Umoja wa madereva wa bodaboda Mkoa wa morogoro waliongoza maandamano ya kupinga Ukatili wa Kijinsia
 Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa katika maandamano ya siku 16 ya kupinga Ukatili wa kijinsiaYaliofanyika Mkoani Morogoro.






 kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Faustini Shilogile 
Katika Madhimisho hayo yalioanza jana Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro Limepanga kufanya shuguli Mbalimbali za Kijamii kama kutembelea Baadhi ya Shule za sekondari Mkoa wa Morogoro kwa lengo la kutoa Elimu Kuhusu Ukatili wa Kijinsai ,Pamoja na Kutembelea Vituo vya kulelea watoto yatima na kulea wazee wasiojiweza katika Kipindi cha siku 16  za kupinga ukatili wa kijinsia
Kwa Picha zaidi Bofya HAPA
                       CLICK HAPA LIKE PAGE YETU KWA NEWS UPDATES ZA KILA SIKU

No comments:

Post a Comment