Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 17, 2013

POST YA KWANZA YA WEMA SEPETU MARA BAADA YA MSIBA WA BABA YAKE HII HAPA


wema sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake ulipotokea hivi karibuni.
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’..tazama alichokisema hapa...



No comments:

Post a Comment