Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji Bibi Asha Ahmadi
kutoka katika kijiji cha Shinyanga A wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Mradi wa maji wa Nyakafuru ulofanyika katika kijiji cha Shinyanga
A,Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto Pascal John aliyelazwa
katika kituo cha afya Iboya Wilayani Mbogwe wakati Rais Kikwete
alipozindua Wodi ya akina mama .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa Umeme Katoro,Mkoani Geita (picha na Freddy Maro)
LEO HII UNA NAFASI YA KUONDOKA BINGWA UKIWA NA MERIDIANBET
-
Alhamisi ya leo inakupa wewe mteja wa Meridianbet nafasi ya kuibuka bingwa
kwa kubashiri mechi za leo za Europa Conference League zinazoendelea ambapo
od...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment