Kikao cha kwanza cha Kamati mpya ya Utendaji ya TFF kimempa likizo Katibu
Mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah mpaka mkataba wake utakapomalizika
Desemba na watamlipa stahili zake. Kikao hicho chini ya Rais Jamal Malinzi,
kimeamua kwamba Ofisa Habari Boniface Wambura atakaimu nafasi ya Angetile
kuanzia leo
Mkutano Mkuu wa Kilimo Ikolojia Hai kufanyika Machi mwaka huu
-
*Na Mwandishi Wetu*
*SHIRIKA la Kilimo Hai Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo (TOAM)
linaratarajia kufanya Mkutano MKuu wa Nne Machi 3 hadi Mac...
5 hours ago


No comments:
Post a Comment