Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 26, 2013

TAARIFA YA MSIBA:::MZEE MANGULA AFIWA TENA NA MWANAYE WA KIUME AITWAYE PETER



Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula

 

 

Mtoto wa kwanza wa Makamu nwenyekiti wa CCM Philip Mangula ,Peter Mangula amefariki Dunia leo asubuhi baada ya kuanguka ghafla jana.

Msiba utakuwa nyumbani kwa Baba wa Marehemu Mzee Mangula, Oysterbay



Ntaendelea kuwapa update zaidi

.... Endelea kuwa na DJ SEK BLOG kila wakati ...

R.I.P Peter Mangula, siso sote mavumbi.
 
                       CLICK HAPA LIKE PAGE YETU KWA NEWS UPDATES ZA KILA SIKU

No comments:

Post a Comment