
picha ya mwonekano wa juu ya uwanja unavyoonekana unatajwa kuwa na kiyoyozi na una uwezo wa kukaliwa na watazamaji . 40,000- uwanja huo uliopewa jina la Al-Wakrah utakamilika 2018.
taarifa ambo zinaufananisha uwanja huo na sehemu za siri za kike zimeonesha kuwakera wabunifu kwa sababu wao walikuwa wanamaanisha mwonekano wa jahazi kiutamaduni WaQatar hutumia kuvulia samaki
tazama video yake chini

No comments:
Post a Comment