Huyu ndo mrembo aliyepandashiwa jukwaani na Peter Okoye wa P-Square na
kumtambulisha kama 'ONYINYE' wa Tanzania. Maana ya Onyinye ni God's
gift is the best/greatest.
Alimpokea vizuri
Akamkumbatia
Nakumbusu
Kisha akaomba mkono wake
Na akamvalisha saa yake
Beautiful Onyinye kweli kweli
Hapa akiendela kuimba ule wimbi wa Beautiful Onyinye
Mambo ya Onyinye yakiendelea
Hehe yaelekea Peter anapenda wanawake weupe na mixed race maana mkewe nae ni mweupe na mixed race (just an observation).
Huyu ndiye 'Onyinye' halal wa Peter haha kitu half cast
Huyu ndiye 'Onyinye' halal wa Peter haha kitu half cast
PICHA NA BONGO 5
No comments:
Post a Comment