WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.
email: met@meteo.go.tz
UTABIRI
WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/11/2013.
[Mikoa ya Kagera, Shinyanga,
Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Rukwa na Kigoma ]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Tanga,Dar-Es-Salaam
na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro,Lindi na
Mtwara]:
[ Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro
na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, na
Singida]:
[Mikoa ya Iringa, na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA
MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
29°C
|
15°C
|
12:13
|
12:24
|
D'SALAAM
|
30°C
|
22°C
|
11:57
|
12:18
|
DODOMA
|
32°C
|
19°C
|
12:12
|
12:31
|
KIGOMA
|
27°C
|
19°C
|
12:37
|
12:54
|
MBEYA
|
30°C
|
16°C
|
12:17
|
12:44
|
MWANZA
|
27°C
|
18°C
|
12:28
|
12:37
|
TABORA
|
34°C
|
21°C
|
12:25
|
12:42
|
TANGA |
32°C
|
22°C
|
12:00
|
12:17
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
23°C
|
11:57
|
12:18
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka
Mashariki, kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
ya Kaskazini na
kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini .
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi
Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
18/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/11/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment