Refa Huyo Anayeonekana Anaitwa Bwana Mashaka Lulambo Ndiye Aliyeanza Kupigwa Uwanjani Humo Leo.
Baadhi
ya Askari Polisi Waliovalia Mavazi ya kawaida Wamenaswa Wakileta Vurugu
Katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe Baada ya Timu yao Kufungwa na
Timu ya Njombe Mji Leo.
Baadhi ya Watu Wameweza Kupigwa na Kujeruhiwa na Askari hao Akiwemo Refa
Pamoja na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Radio Uplands Fm Bwana
Michael Ngilangwa na Kuvunjiwa Vifaa Vyake Vya Kazi Ikiwemo Kamera
Aliyokuwa Akipigia Picha na Kinasa sauti na Simu yake Ya Mkononi.
No comments:
Post a Comment