Kametokea
ajali ya leo Mafinga kati ya magari mawili. Ajali hiyo haikusababisha
madhara makubwa. Gari moja lilipasuka tanki la mafuta na mafuta kuanza
kutiririka hivyo kusababisha watu kujisevia mafuta. Hii hi hatari sana
kuona watu hawajili kabisa maisha yao. Kundi kubwa la wananchi
wakizongania mafuta bila kutafakari je moto ukilipuka?




No comments:
Post a Comment