Yani
Kenya wanastori mpaka ni noma, hebu cheki na hii ya maiti kugoma… ndio
hapo ujiulize wamejuaje mtu huyu aliefariki kagoma? amegomaje wakaelewa?
yani unabaki na maswali mengi kichwani bila majibu ila ndo imetokea hivo chukua mda wako kutazama video hiiii hapo chini

No comments:
Post a Comment