Ajali
hii ilitokea jana 23.12.2013 maeneo ya Chalinze kwa uzembe wa dereva
ambae alilivaa lori bovu kwa nyuma lililokuwa limepaki barabarani kuja
uelekeo wa Dar ... majira ya alfajiri ambapo wakati tunapita majira ya
saa moja tulikuikuta.chanzo HABARI NA MATUKIO
Ona alivyolivaa lori kwa nyuma....
Ajali
hii ilitokea jana 23.112.2013 maeneo ya Hedalu ambapo gari aina ya
Nisani Pickup lilipokosa uelekeo kutokana na upepo mkali eneo hilo. Gari
hilo lilikuwa likielekea Moshi.... Licha ya eneo hilo kuandikiwa vibao
kuwa kuna upepo mkali madereva uzembea.
Gari likiwa limebobdeka baada ya kuanguka mara tatu.
ona kipande cha nyuma kilivyobondeka.
Ndugu jamaa na marafiki wakikusanya kusanya mizigo iliyokuwa imebebwa.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)