skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWSSS::::MAWAZIRI WANNE WAENGULIWA
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema kwamba Rais
Kikwete amekubali kutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti
ya 'Operesheni Tokomeza' iliyotolewa mapema leo bungeni.
Mawaziri hao waliotenguliwa nyadhifa zao ni: Mhe. David Mathayo David wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki wa Maliasili na Utalii,
Mhe. Emmanuel Nchimbi wa Mambo ya Ndani na Mhe. Shamsi Vuai Nahodha wa
Ulinzi.
Mhe. Kagasheki alitangaza kujiuzulu mapema kabla uamuzi huo uliotangazwa na Waziri Mkuu.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
No comments:
Post a Comment