Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 20, 2013

BREAKING NEWZZ: WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII "KAGASHEKI"ATANGAZA KUJIUZULU


Waziri wa maliasili mh. Kagasheki atangaza kujiuzuru bungeni Muda huu .Mh Kagasheki ameChukua uamuzi huo mara baada ya ripoti ya kamati ya Bunge iliyosomwa leo Kumtuhumu kuzembea katika oparesheni tokomeza.

WAZIRI AMETANGAZA KUWASILISHA BARUA KWA ALIYEMTEUEA



TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment