James Kisaka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa
kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo
asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa
kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya
kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA
CHANZO GPL




No comments:
Post a Comment